Home Dauda TV Video-Magoli matatu ya Yanga vs Kagera Sugar uwanja wa Taifa

Video-Magoli matatu ya Yanga vs Kagera Sugar uwanja wa Taifa

9892
0
SHARE

Ligi kuu Tanzania bara imeendelea leo Ijumaa Machi 9, 2018 kwa mchezo mmoja uliochezwa uwanja wa taifa kati ya Yanga dhidi ya Kagera Sugar, mechi hiyo imemalizika kwa Yanga kupata pointi tatu baada ya kuifunga Kagera Sugar kwa magoli 3-0.

Yanga imefunga magoli yake kupitia kwa Ibrahim Ajibu ambaye alifunga goli la kwanza kwa penati kufuatia beki wa Kagera Sugar kuushika mpira kwenye box wakati akijaribu kuokoa, goli la pili limefungwa na Yusuph Mhilu huku Juma Shemvuni akijifunga na kuipa Yanga goli la tatu.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here