Home Kitaifa Mapato ya viingilio Simba vs Al Masry

Mapato ya viingilio Simba vs Al Masry

6686
0
SHARE

Mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika uliozikutanisha Simba ya Tanzania na Al Masry ya Misri uliochezwa Jumatano Machi 7, 2018 kwenye uwanja wa Taifa umeingiza jumla ya shilingi milioni 85,045,000.

Mchezo huo uliingiza mashabiki 14,798, VIP A waliingia watazamaji 250 kwa kiingilio cha Shilingi 20,000 na kupatikana jumla ya shilingi 5,000,000, VIP B na C waliingia watazamaji 557 kwa kiingilio cha shilingi 15,000 ikapatikana jumla ya shilingi 8,355,000,majukwa ya rangi ya Machungwa, Bluu na Kijani waliingia Watazamaji 13,644 kwa kiingilio ncha shilingi 5,000 imepatikana jumla ya shilingi 68,220,000.

Mgawanyo wa mapato

VAT    12,972,966.10

Selcom  5,017,655.00

TFF        3,352,718.94

Uwanja  10,058,156.83

Simba   43,585,346.28

Gharama za mchezo  6,034,894.10

BMT  670,543.79

CAF   3,352,718.94

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here