Home Dauda TV Video-Baada ya kutua Dar “Tumefanya tathmini mechi nne za Yanga”-kocha, Township Rollers

Video-Baada ya kutua Dar “Tumefanya tathmini mechi nne za Yanga”-kocha, Township Rollers

10148
0
SHARE

Timu ya Township Rollers kutoka Botswana imewasili Dar es Salaam leo Machi 4, 2018 kwa ajili ya mchezo wao wa klabu bingwa barani Afrika dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa siku ya Jumanne Machi 6, 2017 kwenye uwanja wa taifa.

Kocha wa Township Rollers amesema tayari wameshapitia mechi nne za Yanga, mechi mbili kati ya hizo ni za nyumbani na mbili nyingine ni za ugenini ili kubaini ubora na mapungufu ya mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania bara.

“Tumefanya tathmini katika mechi nne za Yanga, mbili nyumbani na mbili ugenini”

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here