Home Dauda TV Video-“Nilifanya nilichoelekezwa na kocha”-Juma Mahadhi

Video-“Nilifanya nilichoelekezwa na kocha”-Juma Mahadhi

4366
0
SHARE

Kiungo mshambuliaji Juma Mahadhi ameifungia yanga goli pekee kwenye mchezo wa kwanza wa klabu bingwa Afrika msimu huu dhidi ya St Louis, goli hilo limeifanya yanga kupata ushindi wa nyumbani uwanja wa taifa Dar es Salaam.

Mahadhi amefunga goli hilo dakika ya 68 dakika moja tu baada ya kuingia uwanjani akitokea benchi, baada ya kufunga goli, Mahadhi alikimbia moja kwa moja kwenda kushangilia kwa kumkumbatia kocha wake mkuu George Lwandamina.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here