Home Dauda TV Video-Goli la kimataifa la Juma Mahadhi Yanga vs St Louis

Video-Goli la kimataifa la Juma Mahadhi Yanga vs St Louis

5078
0
SHARE

Jumamosi ya Februari 10, 2018 Yanga mecheza mechi yao ya kwanza ya klabu bingwa Afrika (Caf Champions League) na kufanikiwa kupata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya St. Louis ya Ushelisheli mchezo uliofanyika uwanja wa taifa.

Goli pekee la Yanga limefungwa na kiungo mshambuliaji Juma Mahadhi ambaye aliingia kipindi cha pili kuchukua nafasi ya Ibrahim Ajib.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here