Home Dauda TV Video-goli pekee la Okwi lililoipa ushindi Simba

Video-goli pekee la Okwi lililoipa ushindi Simba

11811
0
SHARE

Februari 7, 2018 ligi kuu Tanzania bara iliendelea kwa msimu wa 2017/18 kwa michezo sita kuchezwa kwenye viwanja tofauti, mchezo uliokuwa na mvuto zaidi ni kati ya Simba dhidi ya azam ambapo Simba ilishinda kwa goli 1-0.

Mshambuliaji wa Simba Emanuel Okwi ndiye alifunga goli hilo pekee na kuendeleza rekodi yake ya kufunga katika viwanja viwili vya Dar (uwanja wa Uhuru na uwanja wa Taifa) akiwa amefunga jumla ya magoli 13 katika viwanja hivyo.

Unaweza kushuhudia goli hilo la Okwi kupitia Dauda TV kwa kubonyeza play hapa chini.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here