Home Dauda TV Video-Kilichozungumzwa makocha baada ya game ya Yanga vs Njombe Mji

Video-Kilichozungumzwa makocha baada ya game ya Yanga vs Njombe Mji

3817
0
SHARE

Baada ya mechi ya Yanga vs Njombe mji kumalizika huku mabingwa watetezi wakipata ushindi wa magoli 4-0 kwenye uwanja wao wa nyumbani, makocha wa timu zote mbili walizungumzia mchezo huo.

Kocha msaidizi wa Yanga Shadrack Nsajigwa amesema licha ya timu yao kuandamwa na majeruhi lakini bado inaendedelea kufanya vizuri.

Kwa upande wa kocha mkuu wa Njombe Mji Mlage Kabange, yeye amesema ugeni wa wachezaji wake wengi kwenye ligi na uzoefu wa wachezaji wa yanga ndio vimeamua mchezo wa leo lakini amesisitiza kupambana kuhakikisha timu haishuki daraja.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here