Home Dauda TV Video-Tukio lililohatarisha afya ya Okwi

Video-Tukio lililohatarisha afya ya Okwi

6866
0
SHARE

Mshambuliaji wa Simba Emanuel Okwi alishindwa kuendelea na mchezo baada ya kupigwa kwa kiwiko na Mau Bofu wa Ruvu Shooting kwenye mchezo wa ligi kuu tanzania bara uliozikutanisha timu hizo kwenye uwanja wa Uhuru.

Okwi alifanyiwa kitendo hicho muda mfupi kabla ya mapumziko na inaelezwa alipoteza fahamu hadi madaktari walipomsaidia kwa kumpatia huduma ya kwanza haraka akiwa uwanjani, kutokana na kitendo hicho mwamuzi wa mchezo huo alimtoa Bofu uwanjani kwa mumwonesha kadi nyekundu.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here