Home Dauda TV Simba wamezungumzia mipango ya kuiua Azam

Simba wamezungumzia mipango ya kuiua Azam

6552
0
SHARE

Baada ya ushindi wa Simba wa magoli 3-0 dhidi ya Ruvu shooting, kocha msaidizi wa wekundu wa Msimbazi Masoud Djuma amesema, wameweka maisha yao kwenye ligi kuu Tanzania bara kwa sababu ndiyo sehemu pekee ambayo wanaweza wakashinda taji hilo.

Kuelekea mchezo wao ujao dhidi ya Azam, kocha huyo amesema Azam ni timu nzuri lakini wanakosa yao hivyo watatumia makosa hayo ili kuhakikisha wanapata ushindi.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here