Home Dauda TV Magoli ya John Bocco na Mzamiru yaliyoipa Simba ushindi vs Ruvu Shooting

Magoli ya John Bocco na Mzamiru yaliyoipa Simba ushindi vs Ruvu Shooting

4496
0
SHARE

Ligi kuu Tanzania bara imeendelea leo kwa michezo kadhaa iliyochezwa viwanja tofauti lakini jicho la Dauda TV lilikuwa uwanja wa Uhuru kushuhudia mchezo kati ya Ruvu Shooting dhidi ya Simba ambao umemalizika na kuishuhudia simba ikiiadhibu Ruvu Shooting kwa magoli 3-0 na kuendelea kujikita kileleni mwa msimamo wa ligi.

Magoli ya Simba yamefungwa na John Bocco ambaye amefungaagoli mawili dakika ya 22 na 75, Mzamiru Yassin alifunga goli moja dakika ya 66.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here