Home Dauda TV Video: Aliyeivuruga Yanga Mapinduzi Cup anatarajia makubwa

Video: Aliyeivuruga Yanga Mapinduzi Cup anatarajia makubwa

4468
0
SHARE

Mchezaji bora wa mchezo kati ya JKU vs Yanga Feisal Salum ‘Fei Toto’ anaamini kutokana na uwezo ambao amekuwa akiuonesha tangu kwenye michuano ya CECAFA Challenge Cup na sasa Mapinduzi Cup huenda akaanza kupokea ofa kutoka timu mbalimbali.

Fei Toto alipiga mpira mwingi mbele ya akina Tshishimbi, Makapu, Buswita na wenzake kiwango ambacho alikionesha pia kwenye mashindano ya Challenge kule Kenya.

Mfungaji wa bao pekee la Yanga kwenye mchezo dhidi ya JKU Hassan Ramadhani ‘Kessy’ amesema kuwa pointi tatu ndio kitu ambacho wanaangalia katika kila mchezo na kujipanga kwa kwa ajili ya michezo mingine inayofuata ili kufanya vizuri zaidi.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here