Home Dauda TV Video: Kocha Simba atetea sare Mapinduzi Cup

Video: Kocha Simba atetea sare Mapinduzi Cup

3753
0
SHARE

Kocha msaidizi wa Simba Masoud Djuma amewatetea wachezaji wake baada ya kulazimishwa sare ya kufungana 1-1 dhidi ya Mwenge kwenye mchezo wao wa kwanza wa kombe la Mapinduzi mwaka huu.

Sababu kubwa ya Djuma kuhusu Simba kutoka sare katika mchezo huo ni uchovu kwa wachezaji wake kutokana na safari ndefu ya kutoka Mtwara kwa basi hadi Dar kicha kusafiri kwa boti hadi visiwani Zanzibar.

“Tumetoka safari ya mbali kwa hiyo wachezaji walikuwa na uchovu ndio maana kipindi cha kwanza niliwapumzisha wachezaji wengi kwa sababu walikuwa na mchoko. Tumeyapokea matokeo tunaenda kujiandaa kwa ajili ya mchezo ujao”-Masoud Djuma.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here