Home Dauda TV Video: “Ni tano kwenda mbele”-Cannavaro

Video: “Ni tano kwenda mbele”-Cannavaro

3257
0
SHARE

Nahodha wa Yanga mkongwe Nadir Haroub Cannavaro amesema ushindi wa magoli 5-0 dhidi ya Mbeya City umewapa ari na watahakikisha wanapata ushindi kama huo au zaidi pindi watakapokutana na Tanania Prisons kwenye mchezo wao ujao utakaochezwa uwanja wa Uhuru.

“Mechi inayokuja tunawapa salamu tunaokutananao, tunataka kupata magoli matano na kuendelea”-Cannavaro.

Cannavaro amesema wakati timu yao inaanza ligi ilishindwa kufunga magoli mengi kwa sababu washambuliaji walishindwa kutumia vizuri nafasi zilizokuwa zikitengenezwa lakini kutokana na kuendelea kulifanyia mazoezi jambo hilo timu yao imeanza kufanya vizuri.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here