Home Kimataifa Cr7 autangazia ulimwengu ujio wa Alana Martina

Cr7 autangazia ulimwengu ujio wa Alana Martina

4471
0
SHARE

Wiki chache zilizopita Ctistiano Ronaldo katika mtandao wa Instagram alitangaza ujio wa mtoto wake wa nne ambaye tayari alishampatia jina kwamba akiazaliwa ataitwa Alan Martina.

Baasi usiku wa leo Cristiano Ronaldo akiwa jijini Atlaanta nchini Marekani ameitangazia dunia ujio wa Alana ambaye ni mtoto wa nne wa mwanasoka bora huyo wa dunia.

Alana ndio mtoto pekee wa Cristiano Ronaldo ambaye mama yake anafahamika kwanj watoto watatu waliotangulia wa mwanasoka huyo mama zao hawajulikani.

Ronaldo alikuwa na mwanae wa kwanza Cr7 Junior ambaye ndio waliongozana hadi hospitalu aliyokuwepo Georgina kwa ajili ya kumpokea ndugu yao huyo mpya katika familia yao.

Katika post yake Cristiano aliandika “Alana amezaliwa, tuna furaha sana kwani Georgina na Alana wote wako salama,tuna furaha mno” aliandika Cr7.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here