Home Dauda TV Magoli ya ‘Dar derby’ Yanga 1-1 Simba VPL 2017/18

Magoli ya ‘Dar derby’ Yanga 1-1 Simba VPL 2017/18

5508
0
SHARE

Leo Jumamosi October 28, 2017 imechezwa mechi ya ligi kuu Tanzania bara ‘Dar derby’  Yanga vs Simba imechezwa kwenye uwanja wa Uhuru na timu hizo kutoka sare ya kufungana 1-1.

Simba walitangulia kupata goli kupitia kwa kiungo wao mshambuliaji Shiza Kichuya dakika ya 58 kipindi cha kwanza, Yanga wakasawazisha dakika mbili baadae goli likifungwa na Obrey Chirwa.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here