Home Dauda TV Video: Kammpuni ya GF Trucks & Equipment wametekeleza ahadi yao kwa Mbao...

Video: Kammpuni ya GF Trucks & Equipment wametekeleza ahadi yao kwa Mbao FC

4416
0
SHARE

Kampuni ya GF Trucks & Equipment leo October 18, 2017 imekabidhi basi kwa klabu ya Mbao FC ya jijini Mwanza litakalotumika katika shughuli za timu kufuatia kusaini mkataba wa kuidhamini timu hiyo August 25 mwaka huu.

Unaweza kuangalia story kamili kupitia Dauda TV kwa kubofya play kwenye video hapa chini.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here