Home Dauda TV Video: Magoli yote Simba vs Mtibwa Sugar uwanja wa Uhuru

Video: Magoli yote Simba vs Mtibwa Sugar uwanja wa Uhuru

4799
0
SHARE

Simba na Mtibwa zimetoka sare katika mchezo wao wa sita wa ligi msimu huu kufuatia kufungana bao 1-1 uwanja wa Uhuru. Sare hiyo inaifanya Simba kutopoteza mechi saba mfululizo za hivi karibuni ligi kuu dhidi ya Mtibwa Sugar.

Timu zote (Simba na Mtibwa) zimefikisha pointi 12 sawa na Yanga pamoja na Azam lakini Simba inaongoza ligi kutokana na wastani mzuri wa magoli ikifuatiwa na Mtibwa Sugar, Yanga na Azam.

Hapa chini kuna video ya magoli yote ya mechi ya Simba vs Mtibwa, unaweza kuangalia kwa kubofya ‘play’. Video hii ni kwa hisani ya Azam TV.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here