Home Kimataifa Mo Salah azima ndoto za Afrka Mashariki kwenda kombe la dunia

Mo Salah azima ndoto za Afrka Mashariki kwenda kombe la dunia

8821
0
SHARE

Mohamed Salah amekata matumaini ya watu wa Afrika Mashariki kupata muwakilishi katika kombe la dunia baada ya kufunga bao lililoiwezesesha Egypt kuwa timu ya 15 kufudhu kombe la dunia.

Salah alikiwa wa kwanza kuifungia Misri kabla ya Arnold Bouka kuisawazishia Congo lakini mchezo ulipofika dakika ya 90 Misri walipata penati ambayo Salah aliweka mpira kambani.

Roberto Lewandoski amefunga moja ya bao kati ya manne dhidi ya Monenegro na kuisaidia Poland kufudhu kombe la dunia kwa mara ya kwanza tangu 2006, hadi sasa Lewandoski amefunga mara 25 katika michezo 15.

Uingereza pamoja na kufudhu lakini wanenda kwenye kombe la dunia huku hawajapoteza hata mchezo mmoja, wakishinda michezo 8 kati ya 10 wakisuluhu miwili na clean sheets 8 huku bao moja la leo lililofungwa na Harry Kane likiwaibua kidedea dhidi ya Lithuania.

Ujerumani waliichapa Azeirbaijan mabao 5 kwa moja ambapo mabao ya Wajerumani yaliwekwa kimiani na Leon Goretzka (2), Sandro Wegner, Antonio Rudiger na Emre Can.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here