Home Dauda TV Video: Magoli ya Stars vs Malawi October 7, 2018

Video: Magoli ya Stars vs Malawi October 7, 2018

2833
0
SHARE

Timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imelazimisha sare ya kufungana goli 1-1 katika mchezo wa kirafiki wa kalenda ya FIFA uliochezwa uwanja wa Uhuru, Dar.

Malawi walitangulia kufunga goli lao dakia ya 35 kipindi cha kwanza kupitia kwa Ngambi Robert lakini Msuva aliisawazishia Stars dakika ya 57 kwa mpira wa kona iliyojaa moja kwa moja kambani.

Ni mchezo wa pili Tanzania na Malawi zimekutana mwaka huu, June 25, 2017 Tanzania Stars iliifunga Malawi 2-0 kwenye mashindano ya COSAFA nchini Afrika Kusini pamoja na mchezo wa leo wa sare ya kufungana 1-1.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here