Home Kitaifa Manji ameachiwa huru kesi ya dawa za kulevya

Manji ameachiwa huru kesi ya dawa za kulevya

4123
0
SHARE

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru Mwenyekiti wa zamani wa Yanga Yusuf Manji katika kesi ya matumizi ya dawa za kulevya iliyokuwa inamkabili.

Upande wa mashtaka umeshindwa kuthibitisha kwamba Manji anatumua dawa za kulevya katika kesi ya matumizi ya dawa za kulevya aina ya heroine iliyokuwa inamkabili.

Hukumu hiyo imetolewa leo Ijumaa October 6, 2017 na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Cyprian Mkeha baada ya upande wa mashtaka na wa utetezi kufunga ushahidi.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here