Home Dauda TV Video: Kakolanya kuhusu nafasi yake kwenye kikosi cha Yanga

Video: Kakolanya kuhusu nafasi yake kwenye kikosi cha Yanga

6444
0
SHARE

Na Thomas Ng’itu

Kipa Beno Kakolanya wa Yanga, aliyekuwa akisumbuliwa na maumivu ya goti pamoja na nyonga anarejea katika kikosi kuanza mazoezi mepesi.

Kuhusu nafasi yake kwenye kikosi cha Yanga Kakolanya amesema: “Bado kuna ugumu kidogo japo nimekaa nje lakini mwalimu mwenyewe ndio ataangalia nitakaporudi nani acheze nani atafuata kwa sababu yeye ndio mwamuzi wa kila kitu”-Kakolanya 

Kurejea kwa Kakolanya katika kikosi cha Yanga,kuna fanya kutimiza idadi kamili ya makipa watatu Youthe Rostand, Beno Kakolanya na Ramadhan Kabwili.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here