Home Kimataifa #UCLIsBack: Rekodi za CR7, Messi, Barca Liverpool walizoweka kwenye hatua ya Makundi

#UCLIsBack: Rekodi za CR7, Messi, Barca Liverpool walizoweka kwenye hatua ya Makundi

7131
0
SHARE

Kuelekea hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa wa ulaya inayoanza kesho – tuangalie rekodi mbalimbali zinahusu hatua hiyo ya michuano hii mikubwa zaidi barani ulaya kwa ngazi ya vilabu.

Wachezaji Binafsi

Mchezaji aliyecheza mechi za makundi – Iker Casillas – 87.

Aliyefunga magoli mengi: 57 – Lionel Messi (Barcelona) ana uwiano wa kufunga goli moja katika kila mechi aliyocheza – amecheza mechi 57.

Mchezaji aliyefunga magoli mengi kwenye mchezo mmoja wa makundi 5 – Luiz Adriano (BATE Borisov 0-7 Shakhtar Donetsk, 21 October 2014)

:

Mchezaji aliyefunga magoli mengi katika hatua ya makundi katika msimu mmoja 11 – Cristiano Ronaldo (Real Madrid, 2015/16)

Rekodi za Umri

Mchezaji mdogo zaidi kuwahi kucheza katika hatua ya makundi ya ya Chmapions League: Alicheza mechi yake ya kwanza akiwa na umri wa miaka 16 na siku 87 – Celestine Babayaro (akiitumikia Anderlecht ambao walitoka 1-1 vs Steaua Bucureşti, 23 November 1994)

:

•Mchezaji mdogo zaidi kuwahi kufunga katika hatua ya makundi: Miaka 17 na siku 195 – Peter Ofori-Quaye (Rosenborg 5-1 Olympiacos, 1 October 1997)

:

•Mchezaji mwenye umri mkubwa zaidi kuwahi kucheza katika hatua ya makundi ya UCL ni Marco Ballotta: miaka 43 na siku 253 mnamo 11 December 2007).

:

Francesco Totti ana rekodi ya kuwa mfungaji wa goli katika hatua ya makundi mwenye umri mkubwa zaidi. Alifunga goli vs CSKA Moscow mnamo November 25, 2014 – akiwa na miaka 38 na siku 59.

Rekodi za Timu

•Timu iliyocheza mara nyingi hatua ya makundi ya Championd League: Mara 22 – Barcelona, Real Madrid, Porto

:

•Timu iliyopata point nyingi katika hatua ya makundi ndani ya msimu mmoja: Points 18 – AC Milan (1992/93), Paris Saint-Germain (1994/95), Spartak Moskva (1995/96), Barcelona (2002/03), Real Madrid (2011/12 and 2014/15)

:

•Timu zilizopata points chache zaidi: 0 – Dinamo Zagreb na Club Brugge (2016/17)

:

•Timu iliyofunga magoli mengi katika hatua ya makundi ndani ya msimu mmoja: 21 – Borussia Dortmund (2016/17)

:

•Timu ambazo zilikuwa na rekodi mbaya za ufungaji katika hatua ya makundi ya msimu mmoja wa UCL: 0 – Deportivo La Coruña (2004/05), Maccabi Haifa (2009/10), Dinamo Zagreb (2016/17)

:

•Timu ambayo imefungwa magoli katika hatua ya makundi ya msimu wa UCL: 24 – BATE Borisov (2014/15), Legia Warszawa (2016/17)

Rekodi za Mechi

•Mchezo uliohusisha magoli mengi katika hatua ya makundi ya Championd League: Borussia Dortmund 8-4 Legia Warszawa, 22 November 2016

•Ushindi mkubwa zaidi katika hatua ya makundi: 8-0 (mara mbuli) – Liverpool 8-0 Beşiktaş (6 November 2007), Real Madrid 8-0 Malmö (8 December 2015)

•Mechi iliyotoa matokeo ya sare makubwa zaidi – Hamburg 4-4 Juventus (13 September 2000), Leverkusen 4-4 Roma (20 October 2015)

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here