Home Dauda TV Video: Azam wanafuraha kumkaribisha Bocco nyumbani, je ikitokea akawafunga?

Video: Azam wanafuraha kumkaribisha Bocco nyumbani, je ikitokea akawafunga?

4852
0
SHARE

Meneja wa Azam FC Philip Olando kwa niaba ya uongozi wa klabu hiyo amesema wanamkaribisha mfalme wa Azam John Bocco ‘Adebayor’ atakapokuwa anarejea kwa mara kwanza Azam Complex akiwa mchezaji wa Simba kucheza dhidi ya timu yake ya zamani.

olando amesema, wanafurahi kumkaribisha Bocco na ikitokea akaifunga Azam hawatajali kama atashangilia au hatoshangilia kwani kufanya hivyo kunategemea na hisia za mtu.

“Tunayofuraha kubwa kumkaribisha Jonh Bocco kwenye uwanja wa Azam ni mwanafamilia ya Azam. Huwezi kuitenganisha nafsi ya Bocco na Azam ni ngumu kihistoria.”

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here