Home Kitaifa RASMI: Mechi ya Azam vs Simba itachezwa jioni badala ya usiku

RASMI: Mechi ya Azam vs Simba itachezwa jioni badala ya usiku

2138
0
SHARE

Mechi ya Azam vs Simba imerudishwa nyuma kutoka saa 1:00 usiku na sasa itachezwa saa 10:00 jioni, inaelezwa mabadiliko hayo ni kutokana na sababu za kiusalama.

Afisa habari wa TFF Alfred Lucas amesema uamuzi huo umefikiwa na timu zote mbili (Azam na Simba) pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama baada ya majaliano maalum.

“Baada ya mjadala wa muda mrefu kati ya TFF, Simba, Azam pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama wameamua kurudisha nyuma mchezo wa Simba vs Azam kutoka saa 1:00 usiku hadi saa 10:00 jioni,” Alfred Lucas-afisa habari TFF.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here