Home Dauda TV Video ya magoli yote ya Taifa Stars vs Botswana September 2, 2017

Video ya magoli yote ya Taifa Stars vs Botswana September 2, 2017

5240
0
SHARE

Msuva ameonesha faida ya kucheza soka nje ya Tanzania, amezitendea haki nafasi mbili alizopata kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Botswana baada ya kufunga mabao mawili murua.

Goli la kwanza alilofunga Msuva lilitokana na pasi ya Mzamiru Yassin huku goli lake la pili akifunga kwa msaada Shiza Kichuya.

Angalia magoli yote kwenye video hapa chini, video kwa hisani ya Azam TV.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here