Home Dauda TV Exclusive: Abdi Banda karudi Dar, vipi kuhusu soka la South Africa?

Exclusive: Abdi Banda karudi Dar, vipi kuhusu soka la South Africa?

12557
0
SHARE

August 29, 2017 jioni beki wa kimataifa wa Tanzania Abdi Banda anaecheza soka kwenye klabu ya Baroka FC ya ligi kuu Afrika Kusini alitua Dar es Salaam kuungana na wachezaji wengine kwenye kambi ya timu ya taifa kwa ajili ya maandalizi kuelekea mchezo wa kirafiki dhidi ya Botswana.

Camera ya Dauda TV imemnasa Banda kwenye Exclusive interview ambapo nyota huyo wa zamani wa Simba amezungumza kwa kifupi kuhusu maisha ya soka la Afrika Kusini kwa muda mfupi ambao amekuwa huko. Banda amecheza mechi mbili za ligi ya Afrika Kusini ambayo imeanza hivi karibuni na kufanikiwa kufunga goli mmoja.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here