Home Dauda TV Walichozungumza Haji Manara, Niyonzima na Okwi baada ya kubeba Ngao ya Jamii

Walichozungumza Haji Manara, Niyonzima na Okwi baada ya kubeba Ngao ya Jamii

16362
0
SHARE

Baada ya game ya Ngao ya Jamii kumalizika na Simba kuibuka mabingwa wapya, ilikuwa ni time ya kufanya interviews  na wachezaji pamoja na wadau mbalimbali walioshuhudia mechi ili kupata maoni yao kuhusu mechi yenyewe.

Haruna Niyonzima, Emanuel Okwi na Haji Manara ni miongoni mwa watu waliozungumza kuhusu mechi hiyo huku kila mmoja akitoa neno lake kwa namna alivyouona mchezo.

Nakuunganisha na Dauda TV kushuhudia kilichozngumzwa na watatu hao mara baada ya kutwaa Ngao ya Jamii ikiwa ni mara yao ya tatu tangu ilipoanzishwa kwaka 2001.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here