Home Dauda TV Video: Soudy Brown, Kwisa na mashabiki wao wa Goms United kwenye Ndondo...

Video: Soudy Brown, Kwisa na mashabiki wao wa Goms United kwenye Ndondo Cup

2905
0
SHARE

Soudy Brown na Kwisa Mzee Mkavu walikuwepo kwenye mechi ya nusu fainali ya Ndondo Cup wakiisapoti timu ya Goms United wakati inaichakaza Kibada One kwa bao 2-0 hatimaye kutinga fainali ya michuano hiyo.

Wawili hao wanaoendesha kipindi cha Shiladu cha Clouds TV walijumuika na mashabiki wao wa Goms lakini kuna matukio muhimu ambayo waliyafanya na kuwa kivutio kwa watu wengine. walivunja nazi uwanjani, kugawa ubuyu wa shilawadu pamoja na kuimba huku wakizunguka maeneo tofauti ya uwanja.

Hii hapa chini ni video ya matukio yote yaliyofanywa na Soudy Brown, Kwisa na mashabiki wao wakati mechi ikiendelea kwenye uwanja wa Kinesi. Angalia kuona kila lililojiri.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here