Home Kitaifa Uhondo wa Ndondo katika picha

Uhondo wa Ndondo katika picha

5580
0
SHARE

Unaweza ukatoka umefurahi japo timu yako unayoishabikia imefungwa, hiyo ni kutokana na burudani nyingi za nje ya uwanja zinazotolewa na mashabiki ambao wanafurika viwanjani.

Michuano ya Ndondo inaruhusu washangiliaji kushangili kwa ustaarabu bila kuhatarisha amani uwanjani na wanapewa uhuru wa kuzunguka uwanja bila kusababisha tukio lolote litakalofanya mechi isimame.

Kutana na picha za matukio mbalimbali yaliyojiri kwenye mechi ya nusu fainali kati ya Goms United vs Kbada One wakati mashabiki walipokua wanatoa support kubwa kwa timu zao.

Wapo walioguswa na matokeo na kuamua kuwa watulivu, wapo wanaosherekea ushindi lakini nazi, karanga na mihogo mibichi imepata soko sana katika kipindi hiki cha mechi za Ndondo Cup.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here