Home Dauda TV Video: Ubwabwa kwa kachumbari umepikwa na kuliwa kwenye uwanja wa Ndondo

Video: Ubwabwa kwa kachumbari umepikwa na kuliwa kwenye uwanja wa Ndondo

2653
0
SHARE

Mara ya kwanza chakula kupikwa na kuliwa uwanjani kwenye michuano ya Ndondo Cup 2017 ilikuwa ni July 30, 2017 ugali kwa nyanya chungu uliliwa, mashabiki wa Misosi walipika ugali wao na kuula uwanjani huku mashabiki wengine wakishuhudia.

Leo August 9, 2017 mashabiki walewale wa Misosi wamepika wali na kuula kwa kachumbari lakini leo walikuwa wanagawa kwa mashabiki wengine pia ambao walikuwa wanapenda kujumuika katika ‘kuupiga ubwabwa’ uliopikwa uwanjani mwanzo mwisho.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here