Home Kimataifa Sol Campbell amejibu maswali yenu akiwezeshwa na SportPesa

Sol Campbell amejibu maswali yenu akiwezeshwa na SportPesa

5417
0
SHARE

Wiki iliyopita siku ya Ijumaa, nili post kwamba kila mtu aulize swali lake kwenda kwa Sol Campbell. Siku ya Jumapili asubuhi Dauda Tv ilifanya naye interview na kujibu maswali yenu kama ifuatavyo.

Pia ikumbukwe kwamba Sol Campbell amelewa na kampuni ya SportPesa kwenye shughuli mbalimbali, moja wapo ni kuangalia mechi ya Arsenal Vs Chelsea ndani ya Leaders Club na kufanya soccer clinic na watoto kwenye viwanja vya Gymkhana.

 

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here