Home Kitaifa M Bet yampa maisha kijana kutoka Tsh 1,000 hadi Tsh 284,433,150

M Bet yampa maisha kijana kutoka Tsh 1,000 hadi Tsh 284,433,150

34839
0
SHARE

 

Tsh 1000 unaweza kusema ni ngumu sana kuzalisha Tsh 284,433,150. Kwenye mambo ya kwaida inaweza kuwa haiwezekani, lakini kwa kutumua Perfect 12 ya M Bet ni kitu ambacho kinawezekana ndani ya muda mfupi.

Kijana Kikuba Ramadhani kutoka Singida ameshinda kiasi cha Tsh 284,433,150 kwa kucheza Perfect 12 ya Mbet kwa kucheza buku tu. Kijana huyo ambaye alikua anauza duka dogo huko kwao Singida, anasema huwa anacheza Perfect 12 ya Tsh 1,000 kupitia M Bet.

Kwenye hafla ya kumkabidhi hundi mshindi huyo, msemaji wa M Bet amesema,“M Bet imewaandalia watanzania zaidi ya Tsh bilioni 1 kwa ajili ya Perfect 12 hasa kwa wakati huu ambapo ligi nyingi zinaenda kuanza. Watanzania wanaweza kufungua www.mbet.co.tz na kucheza Perfect 12”.

Kikuba Ramadhan amedokeza kidogo kuhusu mpango wake juu ya pesa alizoshinda,“Kwasababu mimi nilikua mfanyabiashara mdogo, basi nitaendelea kuwekeza kwa biashara yangu iweza kukua zaidi. Kwa sasa ninauza duka, lakini nitajiendeleza na biashara nyingine pia hapo baadae”.

Msemaji wa Mbet pia aliongeza kuhusu jinsi wanavyowasaidia washindi wa Perfect 12 baada ya kushinda pesa nyingi kama Kikuba.“M Bet huwa tunawapa washauri wetu wa kifedha washindi wote wa Perfect 12. Lengo letu tunataka mshindi aweza kufaidika na pesa anazoshinda, tunaamini wataalamu wetu watampa ushauri mzuri bwana Kikuba na kufaidika vizuri na pesa zake.”

Kwa kupitia www.mbet.co.tz unaweza ku bet michezo mbalimbali na odds nzuri. Kuelekea msimu mpya wa ligi unaweza kuvuna pesa za kutosha, kama bahati ni yako basi wewe ni Kikuba Ramadhan unayefuatia. Ukishinda Tsh 280,000,000 utafanya nini? Comment now.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here