Home Dauda TV Maoni na utabiri wa Shaffih Dauda kuelekea msimu mpya wa VPL 2017/2018

Maoni na utabiri wa Shaffih Dauda kuelekea msimu mpya wa VPL 2017/2018

14841
0
SHARE

Wadhamini wa ligi kuu Tanzania bara kampuni ya Vodacom tayari imeshagawa vifaa kwa timu shiriki za ligi hiyo hii ikiwa na maana kwamba, msimu mpya 2017/2018 uko mbioni kuanza.

Kuelekea msimu mpya wa ligi, mchambuzi wa masuala ya michezo Tanzania Shaffih Dauda ametoa maoni yake kuhusu msimu ujao utakavyokua ikiwa ni pamoja na kutabiri timu ambazo zinaweza zikafanya vizuri kutokana na aina ya usajili zilioufanya na maandalizi yao yanavyoendelea kabla ya kuanza msimu mpya.

Angalia video hapa chini kufahamu alichokizungumza Dauda kwa kirefu zaidi. Unaweza pia ukatoa maoni yako kuhusu timu ambazo unadhani zinaweza kufanya vizuri lakini unaweza ukatabiri pia timu ipi itachukua ubingwa au timu tatu za juu, kumbuka pia kutoa sababu kwa juu ya maoni utakayotoa.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here