Home Dauda TV Video: Penati zilizoipeleka nusu fainali Keko Furniture team XXL vs Stimtosha ya...

Video: Penati zilizoipeleka nusu fainali Keko Furniture team XXL vs Stimtosha ya A

3609
0
SHARE

Julai 30,  2017 ilichezwa robo fainali ya nne ya michuano ya Ndondo Cup msimu wa nne ikizikutanisha Keko Furniture dhidi ya Stimtosha timu zote zikiwania kufuzu kucheza nusu fainali.

Keko Furniture ambao wapo chini ya kipindi cha XXL Cha Clouds FM wakafanikiwa kushinda kwa mikwaju ya penati 4-3 dhidi ya Stimtosha ambao wapo chini ya kipindi cha Alasiri cha Clouds TV. Hatua ya kumpata mshindi kwa changamoto ya penati ilikuja mara baada ya timu hizo kutoka sare ya kufungana 1-1 kwenye dakika 90 za kawaida.

XXL kimekuwa kipindi cha kwanza kukitoa kipindi cha TV katika hatua ya robo fainali iliyokutanisha vipindi vya Radio vs vipindi vya TV.

Dauda TV inakupa fursa ya kushuhudia mikwaju ya penati wakati ikipigwa ili kupata bingwa wa robo fainali kati ya Keko Furniture dhidi ya Stimtosha atakaefuzu kucheza nusu fainali.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here