Home Dauda TV Video: Mbao inataka kumsajili golikipa mtanzania aliyeshindwa kucheza Kenya

Video: Mbao inataka kumsajili golikipa mtanzania aliyeshindwa kucheza Kenya

5696
0
SHARE

Timu ya Mbao FC ipo kwenye mazungumzo na golikipa Kabaly Faraji ambaye ameshindwa kucheza kwenye klabu ya Sony Sugar ya Kenya baada ya kukosa ITC na badae kurudi nyumani.

Kocha mkuu wa Mbao FC ya mkoani Mwanza Ettiene Ndayiragije ameanza kukiandaa kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao wa ligi kuu Tanzania bara.

Golikipa Kabaly Faraji, James Msuva , ni baadhi ya wachezaji ambao wapo Mbao wakiendelea kufanya majaribio kabla ya kusainiwa na klabu hiyo iliyofanikiwa kucheza fainali ya Azam Sports Federation Cup 2016/2017.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here