Home Dauda TV Video: Mayanga kataja sababu za Stars kukosa ushindi vs Rwanda

Video: Mayanga kataja sababu za Stars kukosa ushindi vs Rwanda

2578
0
SHARE

Baada ya mechi ya kimataifa kati ya Taifa Stars dhidi ya Rwanda, kocha wa Stars Salum Mayanga amezungumza na waandishi wa habari na kuweka bayana mambo mawili ambayo kiufundi yalichangia timu yake kushindwa kupata ushindi kwenye uweanja wa nyumbani.

Katika mambo hayo mawili, Mayanga amesema jambo la kwanza ni Stars kuruhusu bao la dakika za mapema. Stars ilifungwa goli dakika ya 17 tu kipindi cha kwanza bao lililofungwa na Dominique Nshuti.

Kukosa utulivu ni jambo jingine ambalo limechangia Stars kushindwa kupata matokeo ya ushindi. Mayanga amesema wapinzani wake walitumia mbinu ya kupoteza muda ili kupata matokeo ya sare.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here