Home Kitaifa Video: Maneno ya kocha wa Stars kabla ya kuikabili Rwanda CCM Kirumba

Video: Maneno ya kocha wa Stars kabla ya kuikabili Rwanda CCM Kirumba

3399
0
SHARE

Kocha Mkuu wa timu ya taifa ‘Taifa Stars’ Salum Mayanga amesema, kikosi chake kipo tayari kwa ajili ya kupambana na Rwanda kwenye mchezo wa kwanza kuwania kufuzu fainali za CHAN.

Mayanga amesema, amepata muda wa kutosha kufanya maandalizi ya mechi hiyo na anakiamini kikosi alichokiteua kwa ajili ya mchezo dhidi ya Rwanda kwenye uwanja wa CCM Kirumba kesho Alhamisi 15, 2017.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here