Home Kimataifa Maziko ya Bradley Lowery katika picha

Maziko ya Bradley Lowery katika picha

3606
0
SHARE

Mtoto Bradley Lowery ambaye alifariki wiki iliyopita baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa kansa kwa muda mrefu hii leo amezikwa huko nchini Uingereza.

Katika ibada maalum ambayo ilifanyika katika kanisa la St Joseph ilihudhuliwa na watu wengi waliovaa jezi zake huku rafiki yake kipenzi Jermain Defoe akionekana kutokwa na machozi.

Barabara za kuelekea kanisani zilipambwa na jezi zenye jina lake na maputo yaliyokuwa na rangi ya Everton huku mashabiki wa timu nyingi barani Ulaya walionekana.


Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here