Home Kimataifa Federer na Cilic waitinga fainali Wimbledon 2017

Federer na Cilic waitinga fainali Wimbledon 2017

1197
0
SHARE

Kama wengi walivyotarajia hii leo Rodger Federer hii leo ametinga katika fainali za michuano ya Wimblendon fainali inayotarajiwa kupigwa siku ya Jumapili.

Federer raia wa Switzerland alikuwa katika kiwango kizuri akimfunga raia wa Czech Tomas Berdych kwa ushindi wa seti 7-6 7-6 na 7-4 katika mchezo huo.

Hii ni mara ya 11 kwa Federer kutinga katika fainali za michuano hiyo ambapo mara ya mwisho kwake kuchukua Wimbledon ilikuwa mwaka 2011.

Ushindi wa Federer kwa Berdych haukua wakushtua sana kwani Federer katika michezo 7 ya mwisho kukutana na Mczech huyo alifanikiwa kushinda michezo yote.

Na kwa matokeo hayo sasa Federer anakwenda kukutana na Mcrotia Marin Cilic ambaye naye aliingia fainali baada ya kumfunga Sam Qurrey kwa seti 6-7 6-4 7-6 7-5.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here