Home Dauda TV RASMI: Banda ametangaza kuondoka Simba

RASMI: Banda ametangaza kuondoka Simba

8934
0
SHARE

Beki wa Simba na timu ya taifa ‘Taifa Stars’ Abdi Banda leo anaondoka Tanzania kwenda Afrika Kusini kujiunga na timu yake mpya ya Baroka FC inayoshiriki ligi kuu Afrika Kusini (PSL).

Banda amesaini mkataba wa miaka mitatu kuitumikia Baroka na tayari kila kitu kimeshakamilika licha ya awali kupishana na viongozi wa Simba baada ya kuomba kupewa barua ya kumruhusu kuondoka (release letter).

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here