Home Dauda TV Video: Mazoezi ya Everton kwenye uwanja wa Taifa

Video: Mazoezi ya Everton kwenye uwanja wa Taifa

9805
0
SHARE

Kikosi cha Everton kimefanya mazoezi mepesi leo kwenye uwanja wa wa taifa kalba ya mchezo wao dhidi ya Gor Mahia ya Kenya mechi ambayo itapigwa klwenye uwanja wa taifa majira ya saa 11:00 jioni.

Everton ipo nchini kwa ziara ya siku moja ambapo mbali na kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Gor Mahia, timu ya Everton imeshiriki katika shughuli mbalimbali za kijamii katika maeneo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kutembelea Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko, kuendesha kliniki za soka na mambo mengine.

Rooney ameendelea kuuza nchini kutokana na ujio wa klabu hiyo ya ligi kuu England akiwa amerejea kwa mara nyingine baada ya kuihama na kwenda Manchester United mahali alipopata umaarufu mkubwa kutokana na mafanikio aliyopata na klabu hiyo.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here