Home Dauda TV Video: Uamuzi wa Julio baada ya jina lake kukatwa kwenye uchaguzi wa...

Video: Uamuzi wa Julio baada ya jina lake kukatwa kwenye uchaguzi wa TFF

8643
0
SHARE

Kocha Jamhuri Kihwelo maarufu kama  Julio amesema atafanya uamuazi  baadae kama atakata rufaa au anaachana na mchakato wa uchaguzi baada ya jina lake kuenguliwa na kamati ya uchaguzi wa TFF kutokana na kushindwa kuwasilisha chrti chake cha elelimu ya sekondari.

Julio amesema bado ananafasi ya kukata rufaa lakini pia amesema anaweza akapitia dirisha jingine kwa kugombea nafasi ya ujumbe kwenye chama cha makocha, kocha huyo amesema anaweza akaachana na nafasi anayo wania kupitia TFF kwa sababu wapo watu wengine wenye uwezo wa kuongoza soka.

Julio alikuwa anawania nafasi ya ujumbe wa kamati ya utendaji TFF kupitia kanda ya Dar es Salaam ambapo jumla ya wagombea 13 walijitokeza kuwania nafasi. Kati ya hao 15, watatu wameenguliwa akiwemo Julio huku wengine 12 wakiwa wamefanikiwa kuendelea kwenye hatua inayofuata ya mchakato wa uchaguzi.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here