Home Dauda TV Video: Said ‘Nduda’ baada ya kushinda tuzo ya golikipa bora COSAFA 2017

Video: Said ‘Nduda’ baada ya kushinda tuzo ya golikipa bora COSAFA 2017

4454
0
SHARE

Licha ya kucheza mechi moja kwenye michuano ya COSAFA 2017, Said Mohamed ‘Nduda’ ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya golikipa bora wa mashindano hayo.

Dauda TV imefanikiwa kuzungumza na golikipa huyo kwa ufupi ambapo kwa sasa yupo kwenye kikosi cha Stars kilichosafiri jioni ya leo (Julai 10, 2017) kuelekea Mwanza kwa ajili ya mchezo wa kuwania kufuzu fainali za CHAN baade mwakani.

Nduda amesema, tuzo hiyo imemuongezea changamoto ya kuhakikisha anakuwa bora zaidi na kupata tuzo zaidi ya aliyoipta kwenye mashindano ya COSAFA.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here