Home Dauda TV Video: Ali Kiba na Ommy Dimpoz wanavyozungumzia usajili wa Simba na Yanga

Video: Ali Kiba na Ommy Dimpoz wanavyozungumzia usajili wa Simba na Yanga

15299
0
SHARE

Dauda TV imekutana na ma-star wa Bongofleva lakini pia ni washkaji sana Ali Kiba na Ommy Dimpoz, mbali na muziki hawa jamaa ni mashabiki wakubwa wa soka ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.

Kwa hapa nyumbani, Ali Kipa ni shabiki wa Yanga wakati Ommy Dimpoz yeye akiwa upande wa pili kwa Mnyama Simba. Kwa Ulaya Ali Kiba ni shabiki wa Liverpool lakini Ommy Dimpoz ni mpenzi wa Mashetani wekundu Manchester United.

Wawili hawa walipokutwa na Camera ya Dauda TV iliwataka kila mmoja azungumzie usajili uliofanywa na timu yake kuelekea msimu ujao na kama utawasaidia kuchukua mataji.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here