Home Dauda TV Video: Heshima anayopewa Niyonzima Rwanda, tetesi za kwenda Simba pia zimewafikia

Video: Heshima anayopewa Niyonzima Rwanda, tetesi za kwenda Simba pia zimewafikia

29026
0
SHARE

Dauda TV imekanyaga jijini Kigali, Rwanda, katika mishemishe za town ikafanikiwa kupiga story na dereva tax (Jimmy) wa mjini Kigali na kumuuliza juu ya habari za star wa Yanga na timu ya taifa ya Rwanda Haruna Niyonzima.

Dereva tax anasema Niyonzima ni kipenzi cha wapenda soka wa Rwanda na wanamfuatilia sana hata akiwa Bongo katika timu yake ya Yanga ambayo tayari imetangaza kumuacha na i tetesi za Niyonzima kusaini Simba zimeshazungumzwa pia Rwanda.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here