Home Dauda TV Video: Dida amepata ‘dili’ nje ya Tanzania, Yanga wamebariki

Video: Dida amepata ‘dili’ nje ya Tanzania, Yanga wamebariki

15782
0
SHARE

Golikia wa Yanga Deogratius Munishi ‘Dida’ ameiambaia Dauda TV kuwa amepata timu nje ya nchi kwa ajili ya kwenda kufanya majaribio ya kucheza soka la kulipwa.

Dida hakuwa tayari kuitaja timu hiyo wala kutaja nchi ambayo timu hiyo ipo kwa sababu bado anaendelea kupokea ofa kutoka vilabu vingine vya nje lakini ameahidi mambo yote yatakapokuwa sawa ataweka kila kitu hadharani.

Tayari Yanga wanajua kilakitu na wamekubaliana na Dida kwamba hata saini mkataba hadi atakapojua mwelekeo wake kabla ya dirisha la usajili kufungwa mwezi Julai mwaka huu.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here