Home Dauda TV Video: Dauda TV imekutana na mkongwe Kudra Omary ndani ya Ndondo Cup

Video: Dauda TV imekutana na mkongwe Kudra Omary ndani ya Ndondo Cup

6029
0
SHARE

Licha ya umri wake kumtupa mkono, mkongwe Kudra Omary leo Juni 21, 2017 ameweza kuifungia Mdandu Investment mabao mawili ilipofanikiwa kuibuka na ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya Kibo Kombaini kwenye mechi ya Ndondo Cup.

Dauda TV haikutaka kumuacha Kudra hivihivi, imepiga nae story kutaka kujua ni namna gani ameweza kudumu kwenye soka ukilinganisha na watu aliocheza nao zamani ligi kuu ambao wengi wao kwa sasa wana vitambi.

Mkongwe huyo wa Yanga ameeleza namna anavyojitunza na kufanikiwa kudumu kwa muda mrefu kwenye soka hadi sasa akicheza pamoja na vijana wadogo kwenye mechi za ushindani kama za Ndondo.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here