Home Dauda TV Video: Mambo aliyozungumza Victor Wanyama baada ya kutua Dar

Video: Mambo aliyozungumza Victor Wanyama baada ya kutua Dar

15144
0
SHARE

Baada ya Victor Wanyama kuikanyaga ardhi ya Dar, Dauda TV ilipata fursa ya kupiga nae story kutaka kujua baadhi ya mambo muhimu kutoka kwa nyota huyo wa ligi kuu ya soka nchini England maarufu kama England Premier League (EPL).

Katika vitu ambavyo Wanyama amevizungumzia katika interview hiyo ni pamoja na vilabu vya Simba, Yanga na Azam lakini pia amemzungumzia nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta anaecheza ligi kuu ya Ubelgiji katika club ya KRC Genk.

Kujua mengine zaidi angalia viedo hapa chini yenye full interview ya Victor Wanyama.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here