Home Kitaifa Wachonga vitanda wa Keko wameshindwa kutamba kwa Black Six

Wachonga vitanda wa Keko wameshindwa kutamba kwa Black Six

3800
0
SHARE

Game ya aina yake ya Ndondo Cup imepigwa kwenye uwan jaw a Tandika Mabatini kati ya Keko Furniture dhidi ya Black Six na timu hizo kutoka sare ya kufungana bao 1-1.

Goli la Keko limefungwa na Rama Kaparamoto wakati Black Six wao goli lao likifungwa na Sady Kipangile na kulazimisha timu hizo kugawana pointi.

Matokeo hayo yanaifanya Mlalakuwa Rangers kuongza Kundi E baada ya kushinda leo kwa magoli 4-0 dhidi ya Goroka, Black Six na Keko Furniture wanashika nafasi ya pili wakiwa wamefungana pointi baada ya sare yao ya kufungana goli 1-1 huku Goroka ikiwa ya mwisho kwenye kundi hilo kufuatia kupoteza mechi yake ya kwanza hivyo haina pointi hadi sasa.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here