Home Dauda TV Video: Samatta alivyosaini mkataba kuwa balozi wa DTB Bank

Video: Samatta alivyosaini mkataba kuwa balozi wa DTB Bank

7826
0
SHARE

Mbwana Samatta ambae ni mshambuliaji wa kimataifa wa KRC Genk ya Ubelgiji na nahodha wa Taifa Stars, leo Juni 18, 2017 amesaini mkataba wa miezi sita (6) kuwa balozi wa benki ya DTB (Diamond Trust Bank).

Mbwana Samatta atakuwa akiitangaza beki ya DTB na bidhaa zake kupitia nyanja tofauti kama vile mitandao ya kijamii pamoja na machapisho.

Pia Samatta atakuwa akifanya mahojiano ya moja kwa moja (mubashara) kupitia ukurasa wa facebook wa benki hiyo ambapo mahojiano hayo yatawapa fursa mashabiki wa soka Tanzania na maeneo mengine ulimwenguni kumuuliza maswali Samatta na yeye atayajibu moja kwa moja.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here